WELCOME TO MARINE PARKS AND RESERVES UNIT, FIND REPORTS AND EVENTS AT THIS PAGE
ZIARA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MH.LUHAGA JOELSON MPINA(Mb) KATIKA TAASISI YA HIFADHI YA BAHARI NA MAENEO TENGEFU 23/01/2019
Waziri akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu
Waziri akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanya kazi wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu
Waziri Mh.Luhaga Joelson Mpina(Mb) akiongea na baadhi ya Watumishi wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu,kulia kaimu meneja Mr.John David Komakoma na kushoto Mr.Amin Abdallah
Baadhi ya Watumishi wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu wakimsikiliza kwa makini Muheshimiwa Waziri
Ziara ya Muheshimiwa Waziri kuelekia kisiwa cha Mbudya akiwa na baadhi ya Watumishi wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu na wadau mbalimbali
MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII (SITE 2022)
Tanzania Safari Channel coverage on Dar es salaam Marine Reserves Tourism attractions 21th-23rd,Feb 2019
Baadhi ya Watumishi wa Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu wakiwa na Watumishi wa TBC Safari Channel katika picha ya pamoja, Makatube
Kisiwa cha Sinda ni moja kati ya visiwa vya Maeneo Tengefu ya Dar es Salaam.
BARAZA LA WAFANYAKAZI WA HIFADHI ZA BAHARI NA MAENEO TENGEFU LILILOFANYIKA TAREHE 09/03/2019
Picha ya pamoja ya baadhi ya wafanyakazi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu na Wageni waalikwa katika uzinduzi wa baraza la wafanyakazi lililofanyika katika ukumbi wa Jengo la Mvuvi Tarehe 09/03/2019
Kaimu Meneja Mr. John Komakoma akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu na wageni waalikwa,katika kikao cha uzinduzi wa baraza la wafanyakazi.
MPRU STAFF PARTICIPATED ON IMET TRAINING CONDUCTED IN TANGA APRIL 2021 BY WIOMSA SECRETARY DR.TUDAR.

MPRU STAFF PARTICIPATING IN TRAINING ON IMET CONDUCTED BY WIOMSA SECRETARY DR.TUDAR

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI(MEI MOSI)DUNIANI YALIYO FANYIKA KATIKA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.

Watumishi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu wameshiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi),ambayo kitaifa mwaka huu yamefanyika mkoani Mwanza. Kanda zote nchini pia zimeshiriki maadhimisho hayo kwa ngazi ya mkoa na kuwatambua watumishi bora kwa mwaka 2020/2021. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu inasema "MASLAHI BORA, MISHAHARA JUU KAZI IENDELEE".

UWANDAE EXPO 2019 MAONYESHO YA BIASHARA YA UTALII, TANZANIA(MAADHIMISHO)

Maonyesho ya biashara ya utalii ya Uwandae Expo yaliyofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, Yaliyo andaliwa na chama cha wanawake "Awwota".

Tukio hili ni la kwanza la Biashara ya Utalii wa Ndani kufanyika Tanzania, na limeandaliwa kipekee kwa kusudi la kuwapatia biashara, mashirika, watendaji na wananchi kwa ujumla (ambao ni wateja wenye uwezo) ili kupata bidhaa bora, huduma na viongozi ndani ya sekta hii. Lengo ni kwamba UWANDAE EXPO itakuwa tukio linaloongoza kila mwaka la soko la Utalii wa Ndani Tanzania. Imeidhinishwa na Wizara ya Maliasili na Utalii (angalia kiambatisho, kutakuwa na lengo la kuzingatia mchango ambao wanawake wanafanya katika sekta ya utalii wa mabilioni ya dola, na jinsi ya kuendeleza fursa za wanawake kuendesha matarajio ya ukuaji wa uchumi wa mataifa. Wanawake kutoka zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa Tanzania, na maneno maarufu, "Nani kama Mama", inamaanisha kwamba watoto wa Tanzania wanatazama kizazi kijacho cha wanawake ili kuweka msingi ambao utasababisha mafanikio yao. Kwa katika malengo haya AWOTTA na wafuasi wake wanatarajia ushiriki wako ulioheshimiwa kama mtangazaji, mdhamini, mfadhili, mnunuzi au mgeni katika UWANDAE EXPO 2019. Imeandaliwa na MARY KALIKAWE [MWENYEKITI], CHAMA CHA WANAWAKE KATIKA UTALII (AWOTTA)

Tukipokea cheti cha kushiriki kutoka kwa Mwenyekiti wa chama cha Wanawake katika utalii (AWOTTA) Madam Mary Kalikawe.

SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO 2018 IN DAR ES SALAAM, TANZANIA

"swahili International Tourism Expo" (SITE) is Tanzania's leading International indoor Tourism Expo, innovated & hosted by Tanzania Tourism Board (TTB),was a 3 days event held from 12th October to the 14th October 2018 at the Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC), right in the heart of Dar es Salaam, Tanzania


Deputy Minister Ministry of Livestock and Fisheries Hon. Abdallah Hamis Ulega (MP) at JNICC


Director of TTB(Tanzania Tourist Board)second from right Devota Mdachi giving certificates to sponsors of farm trip to Mafia Island,Marine Parks and Mafia Lodge at Swahili International Tourism Expo 2018 during JNICC exhibition, from left to right Rahma Shahdadi,Amin Abdallah,Mwaikambo Clever from Marine Parks and Devota Mdachi From TTB the last one is Madam Iris from Mafia Lodge.

MAONYESHO YA 42 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM

Maonyesho haya hufanyika kila mwaka na kilele huadhimishwa tarehe 7 ya mwezi wa saba, pamoja na taasisi mbalimbali kutangaza biashara na huduma,kutoa fursa kwa wafanyabisashara wa ndani na nje kujifunza mambo ya biashara na uzalishaji bora wa bidhaa kulingana na soko la kimataifa, kutengeneza mitandao ya mawasiliano baina yao ambayo itasaidia kukuza biashara na kufikia malengo waliyojiwekeka na pia kutoa fursa ya kuuza bidhaa.

Banda letu la Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu(MPRU)


Ma Ofisa wetu kutoka Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu(MPRU)


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega,ni baadhi ya wageni walio weza kutembelea banda la Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu(MPRU)


MAONYESHO YA 43 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YALIYO FANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM 2019

Maonyesho haya hufanyika kila mwaka na kilele huadhimishwa tarehe 7 ya mwezi wa saba, pamoja na taasisi mbalimbali kutangaza biashara na huduma,kutoa fursa kwa wafanyabisashara wa ndani na nje kujifunza mambo ya biashara na uzalishaji bora wa bidhaa kulingana na soko la kimataifa, kutengeneza mitandao ya mawasiliano baina yao ambayo itasaidia kukuza biashara na kufikia malengo waliyojiwekeka na pia kutoa fursa ya kuuza bidhaa.

Muonekano wa banda letu la Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu(MPRU)

Ofisa wetu kutoka Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu(MPRU)

MAONYESHO YA 44 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YALIYO FANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM 2020

Maonyesho haya hufanyika kila mwaka huadhimishwa tarehe 7 ya mwezi wa saba, pamoja na taasisi mbalimbali kutangaza biashara na huduma,kutoa fursa kwa wafanyabisashara wa ndani na nje kujifunza mambo ya biashara na uzalishaji bora wa bidhaa kulingana na soko la kimataifa, kutengeneza mitandao ya mawasiliano baina yao ambayo itasaidia kukuza biashara na kufikia malengo waliyojiwekeka na pia kutoa fursa ya kuuza bidhaa.

Picha ya pamoja ya baadhi ya wafanyakazi wa MPRU waliyo shiriki katika maonyesho ya Sabasaba

Katika kitu kilicho kua kivutio zaidi kwenye banda letu ni pamoja na uwepo wa kaa, kaa mkubwa duniani anaye itwa Tuyuli,kaa hawa wanasifa ya kuweza kupanda mnazi,kuangua,kufua na kula na wanapatikana katika kisiwa chetu cha Mbudya Kaskazini mwa Dar es Salaam.(Eneo Tengefu)

Wageni mbali mbali walio tembelea banda la MPRU Sabasaba

Dr.Nsajigwa Mbije(Consaltant SWIOFISH PROJECT-MPRU)giving lecture to MPRU staff participated in Coral reef benthnic monitoring.




MPRU staff Musa Ally during filling in diving tank with compressor.


MPRU staff preparing diving equipment for benthnic coral reef monitoring through SWIOFISH PROJECT at MBREMP.



Diving team of MPRU staff move the boat to the beach at Ruvuma Beach.


The font view of Mnazi Bay Ruvuma Estuary Marine Park Office.

MPRU Coral reef monitoring team posing for a photo, during Benthic cover monitoring.




MPRU coral reef monitoring team posing for under water photographing


WORK ON IT

A group picture for TACMP,MIMP and KWS(Kenya Wildlife Society)staff during launching of SAM training in Tanga(12-14 October,2016).