SIKU YA NANENANE
31 Jul, 2023
09:00AM - 06:00PM
MBEYA

Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania (MPRU) itaadhimisha maonesho ya Siku ya Nanenane katika Mkoa wa Mbeya. Maadhimisho haya hufanyika kitaifa ifikapo tarehe 08/08 kila mwaka.