Dira na Dhima

Dira yetu

" Kuhakikisha maeneo ya hifadhi za bahari Tanzania yanakua furaha na fahari kwetu sote "

Dhamira yetu

" Kuanzisha na kusimamia maeneo ya hifadhi ya bahari ya Tanzania kwa matumizi endelevu "

Kauli mbiu yetu

" Tushiriki kwa pamoja kunufaika na zawadi ya maliasili "