Maeneo yaliyohifadhiwa

 

 

MAENEO YA BAHARI YANAYOHIFADHIWA NA MPRU

 

Hivi sasa, kuna Maeneo Tengefu ya Bahari 18 ambayo yanadhibitiwa na Serikali ya Tanzania kupitia Kitengo cha Hifadhi za Bahari. Maeneo haya ni pamoja na Hifadhi tatu (3) za Bahari ambazo ni; Hifadhi ya Bahari ya Kisiwa cha Mafia, Hifadhi ya Bahari ya Mnazi Bay Ruvuma na Hifadhi ya Bahari ya Tanga Silikanti. Pia, inajumuisha  mifumo mitano ya Hifadhi za Baharini iliyoko Dar es Salaam inayojulikana kama mfumo wa Hifadhi ya Bahari ya Dar es Salaam - DMRs, Mfumo wa Hifadhi za Baharini tatu za Mafia - MMRs na mifumo mitano ya Hifadhi ya Bahari ya Tanga - TMRs.

 

MAENEO YA BAHARI YALIYOHIFADHIWA:

No

HIFADHI BAHARI

KATEGORIA

ENEO

(km²) 

TANGAZO LA SERIKALI

(MWAKA)

MAKAZI YA IKOLOJIA

1.0

Kisiwa Cha Mafia 

Hifadhi

822

1995

Mikoko, Pwani, Nyasi za Bahari, Miamba ya Matumbawe

 A.0

Eneo Tengefu La Mafia 

21

 

Mikoko, Msitu wa Pwani usio wa Mikoko, Ufuo, Nyasi za Bahari, Miamba ya Matumbawe

A.1

Kisiwa Cha Shungimbili 

Eneo Tengefu

4.2

2007

 

A.2

Kisiwa Cha Nyororo 

Eneo Tengefu

1.3

2007

 

A.3

Kisiwa Cha Mbarakuni 

Eneo Tengefu

3.8

2007

 

2.0

Hifadhi ya Bahari ya Mnazi Bay Ruvuma Estuary

 

Hifadhi

650

2000

Mikoko, Pwani, Nyasi za Bahari, Miamba ya Matumbawe