Gundua miamba hai ya matumbawe ya Kisiwa cha Makatube na ushuhudie mandhari ya kuvutia ya samaki waliojificha ndani yake, wakitengeneza onyesho la kupendeza la urembo wa asili katika bahari kusini mwa...
Gundua hazina iliyofichwa ya Tanga: eneo la kuvutia la mikoko hai.
Tazama samaki aina ya papa potwewa akiogelea taratibu katika maji safi ya bahari hindi yanayoizunguka kisiwa cha Mafia nchini Tanzania.
Kasa wa Baharini anaepatikana kwenye Kisiwa cha Mafia
Mandhari tulivu ya boti ya wavuvi iliyotia nanga katika ufuo wa jiji la Daresalaam.