SIKU YA MAENEO YA HIFADHI YA BAHARI (MPA 2025)

31 Jul, 2025

Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Maeneo ya Hifadhi ya Bahari (MPA Day 2025) 

Kauli Mbiu: "Kuendeleza Ustahimilivu wa Bahari: Kuongeza Athari kupitia Maeneo Yanayolindwa ya Bahari nchini Tanzania"

Shiriki nasi katika Semina Mtandao (Webinar) kusheherekea Maadhimisho ya Siku ya MPAs  kupata elimu kutoka kwa wataalam (speakers) mbalimbali kufahamu kuhusu MPAs nchini.

LINKI YA SEMINA MTANDAO: Google Meet: https ://meet.google.com/dje-jnhx-itq