NYANGUMI FESTIVAL 2025
02 Sep, 2025
Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania (MPRU) inawakaribisha wote kushiriki Maonesho ya Utalii wa Nyangumi yajulikanayo kama Nyangumi Festival 2025 yanayotarajiwa kuzinduliwa katika viwanja vya Mashujaa vilivyopo katika Mkoa wa Mtwara Septemba 10-12, 2025 na kuhitimishwa katika kilele chake katika fukwe za Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingiliano ya Mto Ruvuma (MBREMP) iliyopo katika kijiji cha Msimbati Septemba 13-14, 2025.
Bei za viingilio katika Tamasha la Nyangumi ni kama zifuatazo: