HERI YA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE DUNIANI

08 Mar, 2024

Ijumaa, 8 Machi 2024

Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania (MPRU) inaungana na Duniani kwa ujumla katika kusheherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (2024) yenye Kauli Mbiu; "Wekeza kwa Wanawake: Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii "