MARINE PROTECTED AREAs DAY (MPAs 2023).

31 Jul, 2023


Siku ya Hifadhi za Bahari ( MPAs Day) itafanyika tarehe 01/08/2023 na Kwa hapa nchini itaadhimishwa Kwa kufanya MKUTANO wa mtandaoni ( Virtual Conference). MKUTANO huu umeandaliwa na Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania.

Kauli mbiu ya Siku ya Hfadhi za Bahari (2023) ni  "Kuadhimisha Siku ya Hifadhi za Bahari kwa ajili ya Watu"