MKURUGENZI MTENDAJI HEIFER INTERNATIONAL ATEMBELEA ENEO TENGEFU LA KISIWA CHA BONGOYO.
12 Sep, 2023
09:00AM-04:30PM
DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Heifer International, Bi Surita Sandosham ametembelea Eneo Tengefu la Kisiwa cha Bongoyo Septemba 9, 2023 baada ya kumalizika kwa kikao cha AGRF 2023 kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.