MPRU, AFO NA RESONANCE KUSHIRIKIANA KATIKA MIRADI YA UHIFADHI
MPRU, AFO NA RESONANCE KUSHIRIKIANA KATIKA MIRADI YA UHIFADHI

Tarehe Iliyochapishwa: Jumatano, Novemba 08, 2023

Watalamu wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania (MPRU) wakutana na wawakilishi kutoka Aqua Farms Organization pamoja na RESONANCE kujadiliana kuhusu miradi ambayo wanaweza kutekeleza kwa pamoja inayolenga kusimamia shughuli za uhifadhi wa bahari katika maeneo yanayosimamiwa na MPRU.