MPRU, KENYA PARTICIPATE JOINT MANAGEMENT TRANS-BOUNDARY CONSERVATION MEETING
MPRU, KENYA PARTICIPATE  JOINT MANAGEMENT TRANS-BOUNDARY CONSERVATION MEETING

Tarehe Iliyochapishwa: Jumatano, Novemba 22, 2023

Meneja wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania, Dkt. Immaculate Sware pamoja na wafanyakazi wengine washiriki mkutano wa Mashauriano wa kuandaa Mkataba wa Maelewano kuelekea Usimamizi wa Pamoja wa eneo la Uhifadhi wa Mipaka kati ya Kenya na Tanzania jijini Dar es Salaam.