MENEJA MPRU DKT. SWARE ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU KENYA.
MENEJA MPRU DKT. SWARE ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU KENYA.

Tarehe Iliyochapishwa: Ijumaa, Septemba 29, 2023

Meneja wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Dkt. Immaculate Semesi pamoja na Mhifadhi Mfawidhi wa Hifadhi ya Bahari Silikanti Tanga (TACMP) Bi. Magreth Mchome washiriki kikao cha Wadau Kenya kilichoandaliwa na Huduma ya Wanyamapori Kenya (KWS) katika mfululizo wa warsha kama maandalizi ya Eneo la Uhifadhi mipaka ya Baharini (TBCA) kati ya Tanzania na Kenya.