MPRU WASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII KILI FAIR (2023).
MPRU WASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII KILI FAIR (2023).

Tarehe Iliyochapishwa: Jumatano, Juni 14, 2023

Karibu-KILI FAIR ni moja ya maonesho makubwa ya utalii Afrika Mashariki ambayo hufanyika kila mwaka katika kukuza na kutoa nafasi kwa makampuni tofauti ndani ya Afrika Mashariki na Afrika Magharibi. MPRU walipata nafasi ya ushiriki katika maonesho hayo ya Kimataifa ya Utalii KILI FAIR (2023) yaliyofanyika Arusha ambapo walipata nafasi ya kujitangaza na kufanikiwa kuvutia zaidi ya makampuni 400 kupeleka wageni ndani ya Maeneo ya Bahari yaliyohifadhiwa.