MAENEO TENGEFU MAPYA KUANZISHWA LINDI
MAENEO TENGEFU MAPYA KUANZISHWA  LINDI

Tarehe Iliyochapishwa: Jumamosi, Disemba 09, 2023

Timu ya Wataalam kutoka Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania (MPRU) ikiongozwa na Mhifadhi Mkuu Bw. Godfrey Ngupula wakiwa safarini katika zoezi la kuanzisha maeneo tengefu mapya katika Wilaya ya Kilwa, Mkoani Lindi.

Pichani ni Mtaalam wa miamba ya kiasilia akitoa maelezo kuhusu majina (25) ya miamba ya matumbawe kwa wataalam wa MPRU (Mhifadhi Mkuu Bw. Godfrey Ngupula, Afisa wa Sheria Bw. Chaila Lupindu, Afisa Tehama Bw. Yusuph Rajabu, Afisa Mipango Bw. Andulile Mwaisaka).