WAFANYAKAZI WA MPRU WASHIRIKI ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA KISIWA CHA MBUDYA.
WAFANYAKAZI WA MPRU WASHIRIKI ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA KISIWA CHA MBUDYA.

Tarehe Iliyochapishwa: Jumatatu, Aprili 10, 2023

Wafanyakazi wa MPRU waliongoza zoezi la usafi wa mazingira katika Kisiwa cha Mbudya kama maandalizi ya kuelekea Siku ya Mazingira Duniani yatakayadhimishwa tarehe 05/006/2023. Zoezi hili la usafi katika Kisiwa cha Mbudya  lilifanyika lilihusisha pia wadau mbalimbali ambao nao walishiriki ipasavyo katika kuhakikisha usafi unafanyika kwa kiwango cha kujitosheleza. Wadau waalikwa hao ni Sana Mare, Nipe Fagio, Global Ecological Restoration Foundation, Blue Green Heroes, Mbudya Conservation Group na Kikundi cha Kukuza Utamaduni na Utalii. Zoezi hili la usafi katika Kisiwa Mbudya lilifanyika tarehe 26/05/2023.