MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII (SITE 2022)
MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII (SITE 2022)

Tarehe Iliyochapishwa: Jumatatu, Aprili 10, 2023

Onesho la  sita (6) la Swahili International Tourism Expo-S!TE 2022 lililohudhuliwa na waoneshaji na wanunuzi wa kimataifa zaidi ya 550 kutoka katika masoko ya utalii duniani ikiwa ni mwendelezo wa programu ya Royal Tour hapa nchini. MPRU walipata nafasi ya kushiriki katika maonesho haya na kuweza kutangaza vivutio vyake vinavyopatikana katika maeneo yake hususan Hifadhi ya Bahari ya Kisiwa cha Mafia ambapo watalii mbalimbali walipata kufahamu kuhusu MPRU na faida zake. Maonesho haya yalifanyika katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam,  Octoba 21, 2022.