MKUTANO WA 45 BODI YA WADHAMINI
MKUTANO WA 45 BODI YA WADHAMINI

Tarehe Iliyochapishwa: Jumatatu, Juni 19, 2023

Mkutano wa 45 wa Bodi ya Wadhamini ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) uliowajumuisha wajumbe wa Bodi chini ya Mwenyekiti Dkt. Boniventure Thobias Baya (meza kuu) ambaye alikuwa akiongoza mkutano huo.

Pamoja na ajenda mbalimbali zilijadiliwa pia mkutano huu ulitoa nafasi ya heshima kuipongeza Bodi hiyo ya Wadhamini ambao wamemaliza muda wao ambapo Menejiment ya MPRU imetoa shukrani zao za dhati na kuaga bodi hiyo na kwa mchango wao walioleta katika kufanikisha MPRU inapiga hatua zaidi mbele.

Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Bunge, Dar es Salaam  Juni, 19,2023.