WATUMISHI TACMP, WADAU WAFANYA KAMPENI YA USAFI KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
WATUMISHI TACMP, WADAU WAFANYA KAMPENI YA USAFI KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Jumatatu, 3 Juni 2024, Tanga

Watumishi wa TACMP kwa kushirikiana na NEMC, Maafisa Uvuvi kutoka Kata ya Chumbageni Tanga Jiji, Uongozi wa Deep Sea pamoja na Wachuuzi kutoka TMRS wamefanya zoezi la usafi katika Mkoa wa Tanga ikiwa ni kampeni ya usafi kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani inayotarajiwa kufanyika tarehe 05 Juni, 2024.