SIKU YA NYERERE.

14 Oct, 2023

Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania Inaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na watanzania wote katika kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa.