Kaimu Meneja wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania (MPRU) Bw. Davis Mpotwa (wapili kutoka kushoto, waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi na wawakilishi kutoka Shirika la Seasense na...
Kaimu Meneja wa MPRU Bw. Davis Mpotwa (katikati) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa jukwaa la Uhifadhi Tanga na Pemba/TP katika Tanga Beach Resort, Machi 17/18, 2025.
Mandhari tulivu ya boti ya wavuvi iliyotia nanga katika ufuo wa jiji la Dar es Salaam.
Fishes Found in Tanga Coelecanth Marine Parks.
Kasa wa Baharini anaepatikana kwenye Kisiwa cha Mafia
Gundua hazina iliyofichwa ya Tanga: eneo la kuvutia la mikoko hai.
Gundua miamba hai ya matumbawe ya Kisiwa cha Makatube na ushuhudie mandhari ya kuvutia ya samaki waliojificha ndani yake, wakitengeneza onyesho la kupendeza la urembo wa asili katika bahari kusini mwa...