Picha ya Pamoja ya Watumishi wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) mara baada ya kumalizika kwa Hafla ya Makabidhiano ya Ofisi kwenda kwa Meneja Mteule Dkt. Emmanuel Swege (wakwanza, kushoto)...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya (katikati) katika picha ya pamoja na Mhifadhi Mfawidhi kutoka Hifadhi ya Bahari ya Ghuba ya Mnazi na Maingiliano ya Mto Ruvuma (MBREMP) Dkt. Redfred Ngo...
Mandhari tulivu ya boti ya wavuvi iliyotia nanga katika ufuo wa jiji la Dar es Salaam.
Fishes Found in Tanga Coelecanth Marine Parks.
Kasa wa Baharini anaepatikana kwenye Kisiwa cha Mafia
Gundua hazina iliyofichwa ya Tanga: eneo la kuvutia la mikoko hai.
Gundua miamba hai ya matumbawe ya Kisiwa cha Makatube na ushuhudie mandhari ya kuvutia ya samaki waliojificha ndani yake, wakitengeneza onyesho la kupendeza la urembo wa asili katika bahari kusini mwa...